OCL shop inamuhakikishia mteja manunuza salama ya mtandaoni na kuzuia kutapeliwa. Pale mteja atapoagiza bidhaa atalipia kupitia account ya kampuni na pesa itashikiliwa hadi pale atakapopata mzigo wake ndani ya siku tatu Tu. Ikitokea supplier ameshindwa kufikisha mzigo kwa mteja au ikathibitika ya kua mzigo aliopokea mteja sio wenyewe, pesa itarudishwa kwa mteja mara moja.